3 Jambo hili ni jema na lampendeza Mungu Mwokozi wetu, 4 ambaye anataka watu wote waokolewe na wapate kuujua ukweli.