3 Mungu anataka ninyi muwe watakatifu na mjiepushe kabisa na maisha ya zinaa.4 Kila mwanamume anapaswa kujua namna ya kuishi na mkewe kwa utakatifu na heshima,5 na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine wasiomjua Mungu.
publicidade