publicidade

34 Hapo Petro akaanza kusema: "Sasa nimetambua kwamba hakika Mungu hana ubaguzi.

35 Mtu wa taifa lolote anayemcha Mungu na kutenda haki anapokelewa naye.