11 Msishiriki katika matendo yasiyofaa, ya giza bali yafichueni. 12 Mambo yanayotendwa kwa siri ni aibu hata kuyataja.