publicidade

Hebreus 12

28 Sisi basi, na tushukuru kwani tunapokea utawala usiotikisika. Tuwe na shukrani na kumwabudu Mungu kwa namna itakayompendeza, kwa ibada na hofu;29 maana Mungu wetu kweli ni moto mkali unaoteketeza.

publicidade