6 Mungu alimtuma mtu mmoja jina lake Yohane,7 ambaye alikuja kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Alikuja ili kwa ujumbe wake watu wote wapate kuamini.
publicidade