3 Jihadharini! Kama ndugu yako akikukosea, mwonye; akitubu, msamehe.

4 Na kama akikukosea mara saba kwa siku, na kila mara akarudi kwako akisema Nimetubu, lazima umsamehe."