publicidade

Lucas 22

61 Bwana akageuka na kumtazama Petro, naye Petro akakumbuka yale aliyokuwa ameambiwa na Bwana: "Leo kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu."62 Hapo akatoka nje, akalia sana.

publicidade