publicidade

28 Yesu alipoingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza kwa faragha, "Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?"

29 Naye akawaambia, "Pepo wa aina hii hawezi kutoka isipokuwa kwa sala tu."