19 Basi, watakapowapeleka ninyi mahakamani, msiwe na wasiwasi mtasema nini au namna gani; wakati utakapofika, mtapewa la kusema.20 Maana si ninyi mtakaosema, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
publicidade