publicidade

Mateus 4

1 Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi.2 Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.

publicidade