31 "Ilikwisha semwa pia: Anayemwacha mke wake, yampasa ampe hati ya talaka.

32 Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mtu akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.